Rasmi Msanii @diamondplatnumz Amekabidhiwa Ubalozi wa Mwaka Mzima wa Kinywaji cha @pepsi_tz na Leo Wametangaza Chupa Mpya ya Bidhaa Hiyo Itakayoanza Kuingia Sokoni Ikiwa na Ujazo wa Ml. 500 Kwa Bei ya Shilingi 600 za Kitanzania

@pepsi_tz Hii Iliyopewa Jina la #MkubwaWao Itaanzia Mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza na Kisha Itatangazwa Mikoa Mingine Ambayo Itawekwa Wazi

#MkubwaWao @pepsi_tz .
.
#JANUARIHAINAKUFELI #HUUNIMWAKAWAKO #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya #WeweNiBora